Monday 8 January 2018

OMG Ft Rosa Ree waja na Wanangu Na Wanao

Kundi la muziki la OMG linaloundwa na vijana watatu ambao ni Salmin Swaggz, Young Lunya na Con Boi lililopo chini ya record label ya (SMG) Switch Music Group, wanatualika kutazama video ya wimbo wao mpya inaitwa Wanangu Na Wanao ambao wamemshirikisha mkali mwingine wa Rap nchini Rosa Ree.

Bonyeza PLAY hapa chini.


0 comments:

Post a Comment