Serikali ya Uganda yalaumiwa kwa mauaji ya Watu, utekaji nyara, kuminya uhuru wa kujieleza na mikutano ya kisiasa kwa mujibu wa Ripoti ya Utafiti wa International Human Rights Watch(HRW)
Aidha, Serikali ya nchi hiyo yatuhumiwa kuyafumbia macho matendo hayo yanayovunja haki za binadamu
Jeshi la Polisi limeshutumiwa kwa kuzuia maandamano na kulitaja Jeshi hilo kuwa ni chombo Kikuu cha uvunjaji wa Haki za Binadamu

0 comments:
Post a Comment