Shirikisho la vyama vya mpira wa
wavu CAVB jana limeitangaza nchi ya Misri kuwa mwenyeji wa mashindano ya
kutafuta bingwa wa Afrika ngazi ya klabu kwa mwaka 2018.
Kwa upande wa wanawake michuano hiyo ya mabingwa wa vilabu ngazi ya
kanda za kiushindani yataanza rasmi machi 5 hadi machi 18, kwa upande
wawanume iatkuwa Machi 27 hadi Aprili 4.
Ukanda wa Afrika Mashariki unawakilishwa na vilabu kutoka Kenya ambavyo ni Kenya Pipeline and Kenya Prisons kwa wanawake na GSU and Kenya Prisons kwa wanaume.
Na Mabingwa watetezi wa mashindano hayo ni Al Ahly ya Misri.

0 comments:
Post a Comment