Saturday 6 January 2018

Rais Magufuli amtembelea mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngomale Mwiru


Rais  Magufuli akimjulia hali mzee Kingunge Ngombale Mwiru, katika wodi ya Mwaisela, Muhimbili. Mzee Kingunge amelazwa hospitalini hapo baada ya kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake.

0 comments:

Post a Comment