Saturday 6 January 2018

WCB kuja na chombo cha habari redio,Tv

Kiongozi mkuu na msanii  kutoka WCB, Diamond Platnumz ametangaza  mpango mpya watakaoanza nao mwaka huu 2018 ambapo ataanza na tasnia ya habari kwamba anatarajia kufungua Wasafi FM na Wasafi TV.



Akiwa nchini kenya katika show yake ya kufunga mwaka katika mji wa Naivasha alifanya mahojiano na kituo cha runinga cha KTN na kueleza mpango wake huo wa kufungua Wasafi FM na Wasafi TV.


0 comments:

Post a Comment