iHeart Radio Music Awards imetangaza majina ya wanamuziki watakao wania tuzo huku wasanii wakubwa Rihanna na Bruno Mars wakiwa wametajwa katika vipengele vingi.
Bruno mars atakuwa katika vipengele vifutavyo (R&B Song of the year, R&B Artist of the year) na Rihanna (Female Artist of the Year na R&B Artist of the Year).
Wasanii wengine ambao watawania tuzo hizo ni Migo Ft Lil Uzi,Card B, Post amlone, Dj Khaled Bryson Tiller,Kendrik Lamar,Future, Drake, PlayboiCarti na Childish Gambino.
0 comments:
Post a Comment