Friday 12 January 2018

Video: Taylor Swift ft Ed Sheeran & Future – End Game

Msanii wa muziki aina ya POP, Taylor Swift ameachia video ya kibao chake kipya kiendacho kama  ‘End Game’ ndani ya kibao hicho amemshirikisha msanii  Ed Sheeran pamoja na rapper Future. Itazama mara ya kwanza hapa.

 

0 comments:

Post a Comment