Friday 12 January 2018

Serikali yatoa katazo shule za binafsi kuweka wastani

Serikali  kupitia wizara ya elimu leo imekataza shule binafsi kumrudisha darasa, kumfukuza au kumhamisha Mwanafunzi kwa kigezo cha kutofikia wastani wa ufaulu wa Shule husika.

Wizara ya Elimu itazichukulia hatua za kisheria ikiwemo kuzifungia kufanya usajili wa Wanafunzi au kuzifutia usajili Shule zitakazoendelea kufanya hivyo




0 comments:

Post a Comment