Jeshi la Polisi linawashikilia Walimu wawili wa Shule ya Sekondari kwa kuwaoa Wanafunzi wao Muleba ,Kagera.
Wakati huo huo, Mwalimu wa Shule ya Msingi Kiholele anashikiliwa na Jeshi hilo kwa kumbaka Mwanafunzi wake wa Darasa la 6.
Mwalimu huyo aliyefahamika kwa jina la Adrian Musika anadaiwa kutenda kosa hilo baada ya muda wa masomo kumalizika katika vichaka vilivyopo Karibu na shule hiyo

0 comments:
Post a Comment