Friday 12 January 2018

Wanawake waruhusiwa kunywa pombe Sri Lanka


Serikali  nchini Sri Lanka imefanya mabadiliko ya Sheria ili kuwaruhusu Wanawake kunywa pombe na kufanya kazi sehemu zinakouzwa

Wanawake wenye zaidi ya miaka 18 wameruhusiwa kunywa vilevi kwa mara ya kwanza tangu kutangazwa kwa marufuku hiyo miaka 60 iliyopita

Wanawake mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii wameishukuru Serikali kwa hatua hiyo

0 comments:

Post a Comment