Saturday 17 February 2018

Ashikwa kwa wizi wa Perfume kwa ajiri ya zawadi ya Valentine.


Siku ya wapendanao duniani 14, February ilileta matukio mengi sana na kudhihirisha mapenzi ya kweli bado yapo yanaishi.
Kijana huyo wa Lagos,Nigeria alikamwatwa katika duka la vipodozi akijaribu kuiba manukato kwa ajiri ya kumpatia mpenzi wake katika siku ya wapendanao duniani.

0 comments:

Post a Comment