Monday 12 February 2018

Beatiful Liar ya Beyonce na Shakira ilivyouza nakala Milioni mbili kwa wiki tatu



Siku kama ya leo mwaka 2007, Beyonce aliachia nyimbo ya "Beautiful Liar" akishirikiana na Shakira ikiwa ni nyimbo yake ya nne kutoka kwenye album yake ya pili "B'Day". Na ilishika nafasi ya 3 katika Billboard Hot 100 na iliuza jumla ya nakala million 2 kwa marekani.

 

Today in 2007, BeyoncĂ© released “Beautiful Liar” featuring Shakira as the fourth official single from her second studio album “B’Day”. It peaked at No. 3 on Billboard Hot 100 & sold over 2 Million units in the US!

0 comments:

Post a Comment