Saturday 24 February 2018

Dayna Nyange – Sale Sale

Moja wa Diva Bongo Fleva Dayna Nyange ameachia video ya kibao chake kipya kiitwacho ‘Sale Sale’, audio ya ngoma hiyo imefanywa na Bear kutoka Kili Records na upande wa video imeongozwa na Director Ivan. Itazame hapa.

0 comments:

Post a Comment