Rapa maarufu nchini Marekani Eminem aachia video ya kibao chake cha River ambacho amemshirikisha msanii Ed Sheeran ,kabla yakuachia video hiyo eminem aliachia vipande vya video kupitia ukurasa wake wa Instagram jambo ambalo liliwafanya mashabiki wake kujua kama ndio maisha yake halisi.
ITAZAME VIDEO HAPA!!

0 comments:
Post a Comment