Thursday 15 February 2018

Fellaini kujiunga na Besiktas msimu ujao


Kiungo wa kati wa Manchester United Marouane Fellaini amekubali kujiunga na Besiktas mwisho wa msimu. Mkataba wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ubelgiji, 30, utakamilika mwisho wa msimu. (Fotomac - in Turkish)

0 comments:

Post a Comment