Tuesday, 20 February 2018

Familia ya marehemu Akwilina yatoa bajeti ya msiba



Familia ya marehemu mwanafunzi wa NIT, Akwilina Akwiline aliyeuawa kwa risasi imesema baada ya kufanya mchanganuo, gharama za mazishi zitakuwa Tshs millioni 80

Msemaji wa familia alisema kulingana na desturi ya Kaskazini, marehemu lazima akazikwe sehemu alipozaliwa ambapo ni kijiji cha Olele wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro.
Bajeti hiyo imekabidhiwa leo Februari 20 kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk Leonard Akwilapo na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kisali Makori

0 comments:

Post a Comment