Rais wa Marekani Donald Trump amemtaja meneja wa kampeni zake za urais mwaka 2020.
Brad
Parscale mtaalam wa mitandao, alifanya kazi katika kampeni za Trump
2016 na alisifiwa sana kwa kutumia mitandao ya kijamii vizuri jambo
linalotajwa kumpa ushindi Trump.Parscale atatumika katika kampeni za uchaguzi mdogo baadae mwaka huu.
Trump anasema Parscale ni mtu sahihi na amekuwa akifanya kila kitu kwa uhakika wa hali ya juu.
0 comments:
Post a Comment