Thursday 15 February 2018

Kachukua Mkopo kwa ajiri ya kumnunulia mpenzi wake Gari.



Alikiba aliimba "Mapenzi yana Run Dunia" akimaanisha kuwa mapenzi yana nguvu kuliko kitu chochote duniani. Msichana mwenye umri wa miaka 20 nchini Kenya amekopa hela kwa ajiri ya kumnunulia mpenzi wake gari siku ya wapendanao #valentineday

Friday Kairuki ambae ni model na mwanafunzi wa Methodist University, Kenya amefanya Surprise kwa mpenzi wake kwa kumpatia gari ya ndoto yake.riday Kairuki alichukua mkopo kwa baba yake na kununua Mercedes Benz kwa ajiri ya mpenzi aliyedumu nae kwa miaka minne kwenye mahusiano.
............................................................................................................
20-yr-old girl borrows money to buy her boyfriend a car on Val’s Day
Friday kariuki, a model and student of the Methodist University, Kenya, has surprised her boyfriend by buying him the car he always wanted.
Kariuki said she took a loan from her dad to buy the brand new Mercedes Benz for her boyfriend of 4 years.

0 comments:

Post a Comment