Thursday 15 February 2018

Rais Magufuli amwapisha mnadhimu mkuu wa jeshi



Rais Magufuli amemuapisha Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ), Luteni Jenerali, Yakubu Mohamed
Rais alifanya uteuzi huo baada ya aliyekuwa Mnadhimu Mkuu wa JWTZ, Luteni Jenerali, James Mwakibolwa kustaafu
Aidha, Maafisa 10 waliopandishwa cheo kutoka Brigedia Jenerali kuwa Meja Jenerali wamevishwa cheo hicho na Mkuu wa Majeshi

0 comments:

Post a Comment