Baada ya kufanya vizuri kwenye filamu ya Black Panther, Michael B Jordan na director wa filamu hiyo Ryan Coogler wanatarajia kufanya filamu nyingine.
Kuna tetesi Michael B Jordan na Ryan Coogler wanataka kufanya filamu ya Tajiri wa zamani wa dhahabu na kiongozi wa nchi ya Mali kwenye historia ya Afrika, Mansa Musa.
0 comments:
Post a Comment