Timu ya wanawake ya Japan imefika
fainali katika mchezo wa kuteleza sakafuni na kujishindia medali ya
dhahabu wakati wa mashindano ya Olimpiki yanayoendelea Korea Kusini.
Ikiwa ni siku ya 12 ya mashindano hayo,timu hiyo imemaliza mchezo huo kwa daraja 2.53.89 na kupata medali ya dhahabu.
Rekodi ya awali katika mchezo huo wakati wa mashindano ya Olimpiki yaliyopita ilikuwa ni 2.58.05 ambapo Uholanzi ilijipatia medali ya fedha.
Rekodi ya awali katika mchezo huo wakati wa mashindano ya Olimpiki yaliyopita ilikuwa ni 2.58.05 ambapo Uholanzi ilijipatia medali ya fedha.
0 comments:
Post a Comment