Kwa mujibu wa Billboard, Apple Music inatabiriwa kwamba inakaribia kuifunika Spotify
ndio mtandao unaoongoza katika uuzwaji wa nyimbo kwa Marekani mpaka kufikia mwezi Julai
mwaka huu kwa sababu Apple Music ina subscribers million 15 wakati Spotify ina subscribers million 18
0 comments:
Post a Comment