Sunday 18 February 2018

Waigizaji Hollywood walivyobamba kwenye uzinduzi wa Filamu ya Black Panther

Waigizaji kutoka chini Marekani wakiongozwa na mmoja wa waigizajia wa filamu mpya ya Black Panther, Lupita Nyong’o walivyotokea mjini Johannesburg, Afrika Kusini.

Mrembo huyo wa Kenya, alionekana kunoga zaidi kutokana na gauni lake alilolivaa lenye rangi nyekundu na kunakshiwa na rangi ya gold kumpendeza sana.

Filamu hiyo ya Black Panther, imetengenezwa na kampuni ya Marvel na kuwakutanisha waigizaji wengi kutoka Afrika kama Chadwick Boseman (Staa wa filamu hiyo), Danai Gurira, John Kani, Connie Chiume na wengine.

0 comments:

Post a Comment