Wednesday 28 March 2018

50 CENT AMTETEA TREY SONG.


Rapa mkongwe kutoka nchini Marekani 50 cent kupitia ukurasa wake wa Instagram amtetea msanii Trey Song baada ya kashfa ya kumpiga mwanamke mmoja,jijini California.

Trey Song ambaye aliaambiwa alipe faini ya dola za kimarekani 50,000 jambo ambalo 50 Cent ameliona kama uonevu.

50Cent amesema kuwa mwanamke aliyemshitaki msanii Trey alidanganya ili apate hela.

0 comments:

Post a Comment