Friday 23 March 2018

Bunge Kenya lapendekeza kupunguza umri wa wanaogombea Urais


Mbunge la nchini Kenya apendekeza la kubadili Ibara ya 260 ya Katiba na kuweka ukomo wa umri wa kuwania urais. Wenye miaka zaidi ya 70 kutoruhusiwa.

Moja ya sababu ya kuweka ukomo kwa umri wa kugombea urais ni watu walio na umri mkubwa kuwa na uzalishaji mdogo pamoja na kusumbuliwa na maradhi ya mara kwa mara


Endapo mapendekezo hayo yatapitishwa Raila Odinga(78) hatoweza kugombea katika uchaguzi wa mwaka 2022


Hata hivyo mabadiliko hayo hayatomuathiri Makamu wa Rais wa sasa, Willium Ruto anayetajwa kuwa atawania Urasi mwaka 2022

0 comments:

Post a Comment