Saturday 19 May 2018

Maaskofu 34 wamuomba Papa aridhie kujiudhuru kwao



Maaskofu wote(34) wa Kanisa Katoliki wamuomba Papa Francis aridhie kujiuzulu kwao kutokana na kashfa ya ngono iliyolikumba Kanisa hilo nchini humo

Viongozi hao wa juu wa kanisa katoliki wanatumiwa kwa kuzuia uchunguzi wa kashfa ya ngono inayomuhusu Kasisi mmoja anayetuhumiwa kwa kumnajisi kingono Mtoto mdogo

Mpaka sasa haijafahamika kama Papa Francis ameridhia ombi hilo la Maaskofu hao au la!

Ombi hili la kujiuzulu linakuja ikiwa ni siku tatu baada ya kikao nyeti kati yao na Papa kilichofanyika Vatican huku

Katika kikao hicho Papa Francis aliwapa waraka wenye kurasa 10 Maaskofu hao akieleza namna Kanisa Katoliki nchini humo lilivyozembea katika kudhibiti uovu huo

0 comments:

Post a Comment