Tuesday 13 March 2018

Harry Kane kukosa mechi muhimu


Kiungo mshambuliaji wa Totteinham Harry Kane ameanza matibabu jana baada  tu ya kuumia
Kane aliyeumia katika mechi dhidi ya Bournemouth alimeifungia Tottenham na England mabao 39 katika michuano yote msimu huu ameonekana akiwa na mpenzi wake Katie huku mguu wake ukiwa umefungwa bandeji ngumu.

Kumekuwa na hofu kuwa atakosamechi muhimu kama ya chelsea juhudi zinafanyika kuhakikisha anarejea haraka.

0 comments:

Post a Comment