Tuesday 20 March 2018

Mtoto amuua mwenzake kisa 'Game'



Mvulana wa miaka 9 kutoka nchini Marekani amuua Dadake(13) kwa kumpiga risasi kichwani. Walikuwa na wakizozana kuhusu mchezo wa Kompyuta(Game).

Mtoto huyo alichukua uamuzi huo baada ya Dada yake huyo kukataa kumpatia kifaa kwaajili ya kuchezea mchezo huo 
Mpaka sasa haijabainika ni vipi Mvulana huyo alipata bunduki hiyo na pia bado haijabainika ni hatua gani zitachukuliwa dhidi yake 

 
Wakati tukio hilo la kusikitisha linatokea Mama wa watoto hao walikuwa katika chumba kingine akiwapa chakula Watoto wengine(Wadogo)

0 comments:

Post a Comment