Mwanamuziki Sherine Wahab ahukumiwa kwenda jela miezi 6 kwa kupatikana na hatia ya kuukashifu Mto Nile
Mwanamuziki huyo wakati akitumbuiza alimwambia mashabiki wake kuwa kunywa maji ya Mto huo kunaweza kumpatia mnywaji magonjwa.
Mashtaka dhidi ya Mwanamuziki huyo yalifunguliwa mwezi Novemba, 2017 baada ya kuonekana katika picha ya video akiimba wimbo uitwao Mashrebtesh Men Nilha(Umewahi kunywa maji ya mto Nile?)
Aidha, Chama cha Wanamuziki nchini humo kimetangaza kumpiga marufuku Mwanamuziki huyo kuimba wimbo huo
0 comments:
Post a Comment