Thursday 15 March 2018

Video: Jux – Fimbo




Baada ya kukaa muda mrefu Msanii wa muziki wa RnB Bongo, Jux ameachia video ya ngoma yake mpyaa iitwayo ‘Fimbo’ audio ya ngoma hiyo imefanywa ya Bob Maneck na Abba wakati video imeongozwa na Hascana. Itazame hapa.

0 comments:

Post a Comment