Monday 30 April 2018

Harmonize na Sarkody waachia wimbo mpya- DM CHICK


 Msanii maarufu wa Bongo Fleva kutoka Mtwara, Harmonize ameachia nyimbo mpya "DM Chick" akiwa na Hip Hop super kutoka Ghana, Sarkodie siku ya leo na tayari inapatikana mitandaoni.

0 comments:

Post a Comment