Monday 30 April 2018

Prezzo, Jaguar wamaliza tofuti zao



Msanii asiyeishiwa na vituko kutoka nchini Kenya Prezzo ameweka wazi kuondoa tofauti zilizokua kati yake na msanii Jaguarkenya

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Prezzo ameandika "Kama wengi mnavojua mimi na ndugu yangu Jaguar tulkuwa na friction miaka nenda, miaka rudi ila Mungu alitupatanisha tukaamua kusahau yalio pita na focus kwa yalio mbele. I am glad we burried the hatchet now lets put in work my brother.... Bless up #Rapcellency" .

0 comments:

Post a Comment