Friday 20 April 2018

Kesi ya Nabii Tito yafutwa,Hakimu aamuru akatibiwe akili



Tito Machija maarufu kama Nabii Tito alikamatwa na Jeshi la Polisi mnamo mwezi Januari mwaka huu

Tito alikuwa akionekana mitandaoni akifanya mambo yasiyoendana na maadili ya dini na injili anayodai kuihubiri ikiegemea kuvunja maadili ya Watanzania

Aidha siku 2 baada ya kukamatwa na Jeshi la Polisi kwaajili ya mahojiano taarifa ziliripotiwa kuwa alijaribu kujiua kwa kujikata na wembe tumboni kitendo kilichosababisha ashonwe nyuzi 25.

0 comments:

Post a Comment