Friday 20 April 2018

Tanzia: Agnes Masogange afariki dunia



Mnyange wa video (Video queen) wa Tanzania, Agness Gerald maarufu kama Masogange amefariki dunia leo katika hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge jijini Dar

Inadaiwa alikuwa anasumbuliwa na Homa ya matumbo pamoja na tatizo la kupungukiwa na damu

0 comments:

Post a Comment