Saturday 21 April 2018

Makundi Kombe la shirikisho CAF



Makundi ya Kombe la Shirikisho(CAF): Yanga SC ya Tanzania imepangwa katika Kundi D pamoja na Rayon Sports (Rwanda)

Klabu ya USM Alger(Algeria) imepangwa na Gor Mahia(Kenya)

Yanga ilifuzu hatua ya makundi baada ya kuiondoa Welatya Dicha ya Ethiopia kwa magoli 2-1

0 comments:

Post a Comment