Sunday 22 April 2018

Mamia wajitokeza kuaga mwili wa msanii Agnes Gerald 'Masogange'



Mwili wa Msanii Agnes Gerald maarufu Masogange umewasili katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuagwa na ndugu, jamaa na marafiki

Baada ya taratibu hizo, mwili huo utasafirishwa kwenda nyumbani kwa wazazi wa Agnes, Mbeya kwa ajili ya mazishi

Agnes alifariki siku ya Ijumaa majira ya saa 10 jioni katika hospitali ya Mama Ngoma iliyopo Mwenge kwa maradhi ya 'pneumonia'

0 comments:

Post a Comment