Monday, 16 April 2018

Monalisa aipaisha Tanzania


Muigizaji maarufu wa filamu nchini Tanzania, Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa ameshinda tuzo ya African Prestigious Awards kipengele cha Msanii Bora wa Kike barani Afrika
-
Tuzo hizo zimefanyika usiku wa kuamkia jumapili katika mji wa Accra huko nchini Ghana.

0 comments:

Post a Comment