Thursday 19 April 2018

RIPOTI YA CAG CHAMA CHA WALIMU TANZANIA



Chama cha Walimu Tanzania(CWT) kiliipa Kampuni ya TDCL yenye namba za usajili 45719 kusimamia na kuendesha jengo la Mwalimu House lililopo Ilala Boma jijini Dar

Katika Ukaguzi wa CAG uliofanyika BRELA ulibaini kuwa Kampuni iliyosajiliwa kwa namba 45719 ni Teachers Development (T) Limited badala ya TDCL

Pia, ilibainika kuwa Teacher's Development (T) Limited haijawahi kufanya kazi tangu kuanzishwa

Aidha, ilibainika kuwa kati ya CWT na TDCL hakukuwa na mkataba ambao unaonyesha jinsi CWT na wanachama wake watakavyo faidika

0 comments:

Post a Comment