Monday 30 April 2018

Serengeti Boys yanga'ara CECAFA



 Timu vijana wa Tanzania chini ya miaka 17(Serengeti Boys) wametwaa taji la CECAFA la chini ya miaka 17 kwa mwaka 2018 baada kuifunga Somalia goli 2-0

Hatahivy nchi jirani  Uganda imemaliza ikiwa nafasi ya tatu na Kenya nafasi ya nne

0 comments:

Post a Comment