Friday 20 April 2018

Swaziland sasa yaitwa eSwatini


 Mfalme Mswati wa III amebadili jina la nchi hiyo kutoka Swaziland kuwa eSwatini wakati wa sherehe za miaka 50 ya utawala wa kifalme wa nchi huo na miaka 50 ya uhuru

eSwatini ndio nchi pekee ya Kifalme duniani ambayo Mfalme ana mamlaka kamili katika nyanja zote za kiutawala

Mfalme Mswati III kwa sasa ana wake 15 akiwa anaifuata rekodi ya Baba yake aliyekuwa na wake 125

0 comments:

Post a Comment