Monday 23 April 2018

TANZIA: Msanii aliyeimba 'Swahiba' Jebby afariki dunia




Msanii wa Bongo Fleva, Jeneb Mbaruk maarufu kama Jebby amefariki dunia leo akiwa
Taarifa za awali zinasema alikuwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye bandama

Jebby atakumbukwa kwa wimbo wake uliofanya vizuri sana wa 'Swahiba' alioshirikiana na Afande Sele

0 comments:

Post a Comment