Sunday 15 April 2018

THE ROCK KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAISI USA 2020



Mwigizaji maarufu kutoka nchini Marekani, Dwayne Johnson "Therock" ametangaza nia ya kuwania urais uchaguzi mkuu wa marekani mwaka 2020.
 

Therock ambaye kwasasa anatamba na filamu ya Djumanji ameuambia mtandao wa Bleacherreport kuwa kwa sasa yupo katika kujifunza maswala ya kisiasa ili atakapoingia rasmi isimpe shida.

Hata hivyo wasanii wengine kama @jayz @Oprahwinfrey kutoka nchini Marekani wamejitokeza hadharani katika kutaka kuwania urais utakapofika mwaka 2020.

0 comments:

Post a Comment