Tuesday 24 April 2018

Usambazaji wa gezi majumbani kuanza leo



Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema usambazaji wa gesi majumbani katika jiji la Dar utaanza rasmi leo, Aprili 24

Gharama za kuunganisha gesi kwa wateja watakaopitiwa na bomba hilo itakuwa Tsh. 200,000 hadi Milioni 1 kutegemeana na umbali kutoka lilipo bomba kuu

Baadhi ya maeneo yatakayoanza kunufaika kuanzia kesho ni Ubungo, Mwenge, Kijitonyama, Gongolamboto, Shekilango na Mikocheni na kazi hiyo itadumu kwa miezi miwili

Aidha, bei ya mitungi ya gesi inatarajiwa kupungua kwa asilimia 40 ya bei ya sasa

0 comments:

Post a Comment