Friday 4 May 2018

Albamu ya ndugu wawili Swae Lee na Jxm kutikisa leo



Siku ya leo zitadondoka album tatu kutoka kwa ndugu wawili Swae Lee na Jxm.
Ya kwanza ni "SR3MM" ambayo itahusisha wote wawili.

Album ya pili ni "SWAECATION" hii ni ya Swae Lee peke yake.

Album ya tatu ni "JXMTRO" hii ni ya kaka mkubwa JXM.
Kila album itakua na nyimbo 9 zilizotayarishwa na producer Mike Will Made It ambae ni mjomba wao.

0 comments:

Post a Comment