Tuesday 1 May 2018

Bob Marley ndani ya darasa Jamaica




Mfalme wa muziki wa Reggae duniani, Bob Marley atakumbukwa kwa maishiri yake kutumika kama moja ya masomo katika chuo cha Nebraska, pia Dr Kwame Dawes mkufunzi maarufu na mtaalamu wa kiingeleza kutoka chuo hicho amesema kuwa kutakua na "Popular Literature" ambayo itakua imefocus katika mashairi ya Bob Marley kuanzia July 9 mpaka August 9.
.

0 comments:

Post a Comment