Bondia Tony Bellew wa
Uingereza, amesema kwa sasa anajielekeza kupigana na mabondia wengine
akiwataja Tyson Fury na Andre Ward, ikiwa ni baada ya kushinda katika
pambano lake la marudiano dhidi ya bondia mwenzake wa Uingereza David
Haye.
Katika pambano la juzi dhidi ya Haye, Bellew alishinda katika raundi ya tano ikiwa ni baada ya kumuangusha mara kadhaa mpinzani wake kufuatia kumzidi kiuwezo, na hivyo katika mkutano wake na waandishi wa habari baada ya pambano akidai kuwa yuko tayari kuanza maandalizi ya kupambana na mabondia wengine.

0 comments:
Post a Comment