Tuesday 8 May 2018

UEFA yamtangaza refa katika finali



Kuelekea katika fainali,Shirikisho la soka la Ulaya (UEFA) limemteua Mserbia Milorad Mazic kuchezesha fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya baina ya Real Madrid na Liverpool mjini Kiev, Mei 26 mwaka huu. UEFA pia imemteua mwamuzi mholanzi Bjorn Kuipers kuchezesha mechi ya fainali ya Europa League Mei 16 wakati Atletico Madrid itakapomenyana na Marseille mjini Lyon Ufaransa.
Mazic na Kuipers wote wameteuliwa na FIFA kuchezesha fainali za pili mfululizo za kombe la dunia mwezi ujao nchini Urusi.
kuchezesha fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya baina ya Real Madrid na Liverpool mjini Kiev, Mei 26 mwaka huu. UEFA pia imemteua mwamuzi mholanzi Bjorn Kuipers kuchezesha mechi ya fainali ya Europa League Mei 16 wakati Atletico Madrid itakapomenyana na Marseille mjini Lyon Ufaransa.
Mazic na Kuipers wote wameteuliwa na FIFA kuchezesha fainali za pili mfululizo za kombe la dunia mwezi ujao nchini Urusi.

0 comments:

Post a Comment