Wednesday 9 May 2018

Ebola yaibuka tena nchini Kongo



Watu takribani 17 wameripotiwa kufariki dunia  katika eneo la Kaskazini Magharibi mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na virusi vya ugonjwa wa Ebola

Mpaka sasa Wagonjwa 21 wameripotiwa kuwa na virusi vya ugonjwa huo hatari

Shirika Afya Ulimwenguni(WHO) pamoja na Serikali ya DRC wamethibitisha kuwepo kwa maradhi hayo baada ya kupata majibu ya vipimo vya maabara

0 comments:

Post a Comment