Fabolous atinga mahakamani kusikiliza kesi ya kumpiga mpiga mke wake, asindikizwa na mke wake aliyefungua mashtaka
Msanii huyo anashatakiwa kwa kosa la kumpiga mama watoto wake, Emily B na kuitishia familia yake, tukio lilitokea mwezi wa pili.
Mtandao wa Bossip umeripoti kuwa mbali ya Emily B kuwa mhanga wa tukio lililopekea hii kesi bado yupo sambamba na yupo upande wa Baba mtoto wake.
Kesi itasikilizwa tena mwezi ujao
0 comments:
Post a Comment