Tuesday 1 May 2018

Hans Poppe kuunganishwa katika ksi inayowakabili Aveva na Kaburu



Mahakama imetoa amri ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wa usajili wa Simba SC, Zacharia Hans Poppe na Franklin Lauwo ili kuunganishwa katika kesi inayomkabili Rais wa Klabu hiyo, Evans Aveva na Makamu wake Kaburu

Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba ametoa amri hiyo baada ya Wakili wa TAKUKURU, Leonard Swai kubadilisha hati ya mashtaka na kuwaongeza watuhumiwa hao

Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ wanakabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha na kugushi nyaraka mbalimbali

0 comments:

Post a Comment